Kumbukumbu la Sheria 17:18
Kumbukumbu la Sheria 17:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17Kumbukumbu la Sheria 17:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika kitabu, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17