Kumbukumbu la Sheria 17:19
Kumbukumbu la Sheria 17:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17Kumbukumbu la Sheria 17:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 17