Kumbukumbu la Sheria 18:12
Kumbukumbu la Sheria 18:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18Kumbukumbu la Sheria 18:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu yeyote afanyaye mambo haya ni chukizo kwa BWANA, tena ni kwa sababu ya matendo haya ya kuchukiza wayafanyayo ndiyo maana BWANA Mungu wenu atayafukuza mataifa hayo mbele yenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18