Kumbukumbu la Sheria 18:22
Kumbukumbu la Sheria 18:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18Kumbukumbu la Sheria 18:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ikiwa kile nabii anachotangaza kwa jina la BWANA hakikutokea au kutimia, huo ni ujumbe ambao BWANA hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Msimwogope huyo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 18