Kumbukumbu la Sheria 20:1
Kumbukumbu la Sheria 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20Kumbukumbu la Sheria 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20Kumbukumbu la Sheria 20:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20