Kumbukumbu la Sheria 20:4
Kumbukumbu la Sheria 20:4 Biblia Habari Njema (BHN)
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye atakayekwenda pamoja nanyi kupigana kwa niaba yenu dhidi ya adui zenu na kuwapa ushindi.’
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20Kumbukumbu la Sheria 20:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye awaandamaye kwenda kuwapigania juu ya adui zenu, ili kuwaokoa ninyi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 20