Kumbukumbu la Sheria 22:5
Kumbukumbu la Sheria 22:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 22Kumbukumbu la Sheria 22:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Haimpasi mwanamke kuvaa nguo za kiume wala mwanaume kuvaa nguo za kike, kwa maana BWANA Mungu wenu anachukia yeyote ambaye hufanya hivi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 22