Kumbukumbu la Sheria 23:23
Kumbukumbu la Sheria 23:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yaliyotoka midomoni mwako yashike kuyafanya; kwa mfano wa ulivyomwekea nadhiri BWANA, Mungu wako, ni sadaka ya hiari uliyoahidi kwa kinywa chako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23Kumbukumbu la Sheria 23:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Uwe mwangalifu kutimiza nadhiri uliyotamka kwa mdomo wako, maana ulimwahidi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, kwa hiari yako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 23