Kumbukumbu la Sheria 24:16
Kumbukumbu la Sheria 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baba wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mmoja atakufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24