Kumbukumbu la Sheria 24:5
Kumbukumbu la Sheria 24:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24Kumbukumbu la Sheria 24:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama mtu ameoa karibuni, kamwe asipelekwe vitani au kupewa wajibu mwingine wowote. Kwa mwaka mmoja atakuwa huru kubaki nyumbani ili amfurahishe mke aliyemwoa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 24