Kumbukumbu la Sheria 28:1
Kumbukumbu la Sheria 28:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama ukimtii BWANA Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, BWANA Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28