Kumbukumbu la Sheria 28:11
Kumbukumbu la Sheria 28:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA atakupa kustawi kwa wingi, katika tunda la uzao wa tumbo lako, katika wanyama wachanga wa mifugo yako na katika mazao ya ardhi yako, katika nchi aliyowaapia baba zako kuwapa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu atawafanikisha kwa wingi: Watoto, mifugo na mavuno shambani katika nchi aliyowaapia wazee wenu kuwa atawapeni
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28