Kumbukumbu la Sheria 28:13
Kumbukumbu la Sheria 28:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya BWANA Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa bidii, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mtaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mkishika amri zake ambazo ninawapeni leo na kuwa waangalifu kuzitekeleza
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28