Kumbukumbu la Sheria 28:7
Kumbukumbu la Sheria 28:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA atasababisha adui wainukao dhidi yako kushindwa mbele yako. Watakujia kwa njia moja lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28