Kumbukumbu la Sheria 28:8
Kumbukumbu la Sheria 28:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Baraka za Mwenyezi-Mungu zitakuwa katika ghala zenu za nafaka na katika shughuli zenu zote. Atawabariki katika nchi ambayo anawapeni.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako; naye atakubarikia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28