Kumbukumbu la Sheria 28:9
Kumbukumbu la Sheria 28:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya BWANA Mungu wako na kwenda katika njia zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28Kumbukumbu la Sheria 28:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu atawafanyeni kuwa watu wake watakatifu kama alivyowaahidi, kama mkizitii amri zake yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata njia zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 28