Kumbukumbu la Sheria 29:29
Kumbukumbu la Sheria 29:29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mambo ya siri ni ya BWANA Mungu wetu, bali yaliyofunuliwa ni yetu na watoto wetu milele, ili tuweze kuyafanya maneno yote ya sheria hii.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 29Kumbukumbu la Sheria 29:29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mambo ya siri ni ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, lakini yale ambayo ameyafunua ni yetu na wazawa wetu milele, ili tutekeleze maneno yote ya sheria hii.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 29