Kumbukumbu la Sheria 30:6
Kumbukumbu la Sheria 30:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA Mungu wako ataitahiri mioyo yenu na mioyo ya wazao wenu ili mweze kumpenda kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote ukaishi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanyeni nyinyi na wazawa wenu muwe na moyo wa utii ili mumpende yeye kwa moyo wenu wote na roho yenu yote, mpate kuishi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30