Kumbukumbu la Sheria 31:6
Kumbukumbu la Sheria 31:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe imara na hodari, wala msiwaogope au kutishwa nao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ndiye anayekwenda pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31Kumbukumbu la Sheria 31:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31Kumbukumbu la Sheria 31:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anakwenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31