Kumbukumbu la Sheria 31:8
Kumbukumbu la Sheria 31:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA mwenyewe atakutangulia naye atakuwa pamoja nawe; kamwe hatakuacha wala hatakutupa. Usiogope, wala usifadhaike.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31Kumbukumbu la Sheria 31:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ndiye anayewaongoza; yeye atakuwa pamoja nanyi; yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, msiogope wala msifadhaike.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31