Kumbukumbu la Sheria 32:4
Kumbukumbu la Sheria 32:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu ni Mwamba wa usalama; kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu asiye na kosa, yeye hufanya mambo ya uadilifu na ya haki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32Kumbukumbu la Sheria 32:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu; Maana, njia zake zote ni haki. Mungu wa uaminifu, asiye na uovu, Yeye ndiye mwenye haki na adili.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32