Kumbukumbu la Sheria 33:27
Kumbukumbu la Sheria 33:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu wa milele ni kimbilio lako, na chini kuna mikono ya milele. Atamfukuza adui yako mbele yako, akisema, ‘Mwangamize yeye!’
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33