Kumbukumbu la Sheria 34:7
Kumbukumbu la Sheria 34:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 34Kumbukumbu la Sheria 34:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 34