Kumbukumbu la Sheria 34:9
Kumbukumbu la Sheria 34:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi Yoshua mwana wa Nuni alijazwa roho ya hekima kwa sababu Mose alikuwa ameweka mikono yake juu yake. Kwa hiyo Waisraeli wakamsikiliza na wakafanya yale ambayo BWANA alikuwa amemwagiza Mose.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 34Kumbukumbu la Sheria 34:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Yoshua mwana wa Nuni alijaa roho ya hekima, kwa kuwa Mose alikuwa amemwekea mikono yake. Hivyo Waisraeli walimtii Yoshua na kufuata amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa Mose.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 34