Kumbukumbu la Sheria 4:2
Kumbukumbu la Sheria 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiliongeze neno ninalowaamuru wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, ninazowaamuru.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4