Kumbukumbu la Sheria 4:30
Kumbukumbu la Sheria 4:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia BWANA, Mungu wako, na kuisikiza sauti yake
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4