Kumbukumbu la Sheria 4:31
Kumbukumbu la Sheria 4:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye rehema, hatawaacheni wala kuwaangamiza, wala kusahau agano ambalo alifanya na wazee wenu kwa kiapo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa BWANA, Mungu wako, ni Mungu wa rehema; hatakuacha wala kukuangamiza, wala hatalisahau agano la baba zako alilowaapia.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4