Kumbukumbu la Sheria 6:13
Kumbukumbu la Sheria 6:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Utamcha BWANA Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtamcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtamtumikia yeye peke yake na kuapa kwa jina lake peke yake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6