Kumbukumbu la Sheria 6:15
Kumbukumbu la Sheria 6:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
kwa kuwa BWANA Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)
hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6