Kumbukumbu la Sheria 6:18
Kumbukumbu la Sheria 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6Kumbukumbu la Sheria 6:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Fanya lililo haki na jema mbele za BWANA, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo BWANA aliahidi kwa kiapo kwa baba zako
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 6