Kumbukumbu la Sheria 7:14
Kumbukumbu la Sheria 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtabarikiwa kuliko watu wengine wote ulimwenguni. Miongoni mwenu hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke tasa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utabarikiwa kuliko mataifa yote; hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke aliye tasa kati yenu; wala kati ya wanyama wenu wa kufugwa.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7