Kumbukumbu la Sheria 7:6
Kumbukumbu la Sheria 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako; BWANA Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7