Kumbukumbu la Sheria 7:7
Kumbukumbu la Sheria 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu hakuwapenda nyinyi na kuwateua kwa kuwa nyinyi ni wengi mno kuliko watu wengine; nyinyi mlikuwa wachache kuliko mataifa mengine duniani.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sababu mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7