Kumbukumbu la Sheria 7:8
Kumbukumbu la Sheria 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ni kwa sababu Mwenyezi-Mungu anawapenda na anashika kiapo alichowaapia babu zenu, ndiyo maana aliwaokoeni kwa mkono wake wenye nguvu na kuwaokoa toka utumwani, toka mikono ya Farao mfalme wa Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kukitimiza kiapo chake alichowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7