Kumbukumbu la Sheria 7:9
Kumbukumbu la Sheria 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jueni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayeshika agano lake na huwaonesha fadhili kwa vizazi vingi vya wale wanaoshika amri zake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kushika amri zake, hadi vizazi elfu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7Kumbukumbu la Sheria 7:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kushika amri zake, hata vizazi elfu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 7