Kumbukumbu la Sheria 8:11
Kumbukumbu la Sheria 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hakikisheni kwamba hamtamsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoshika amri zake, maagizo yake na masharti yake ninayowaamuru leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jihadhari, usije ukamsahau BWANA, Mungu wako, kwa kutozishika amri zake, na hukumu zake, na sheria zake, ninazokuamuru leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8