Kumbukumbu la Sheria 8:15
Kumbukumbu la Sheria 8:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndiye aliyewaongoza katika lile jangwa kubwa na la kutisha, lenye nyoka wenye sumu na nge; katika nchi ile kame isiyokuwa na maji, aliwatolea maji kutoka kwenye mwamba mgumu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
aliyekuongoza katika jangwa lile kubwa lenye kitisho, lenye nyoka za moto na nge, nchi ya kiu isiyokuwa na maji; aliyekutolea maji katika mwamba mgumu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8