Kumbukumbu la Sheria 8:16
Kumbukumbu la Sheria 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena ndiye aliyewalisheni mana jangwani, chakula ambacho babu zenu hawakupata kukijua. Alifanya hayo yote ili awanyenyekeshe na kuwajaribu, ili kuwapima apate kuwajalia mema mwishowe.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
aliyekulisha jangwani kwa mana, wasiyoijua baba zako; apate kukutweza, apate kukujaribu, ili kukutendea mema mwisho wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8