Kumbukumbu la Sheria 8:18
Kumbukumbu la Sheria 8:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbukeni kwamba Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye awapaye uwezo wa kupata utajiri. Anafanya hivyo ili kuimarisha agano alilofanya na babu zenu mpaka leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8