Kumbukumbu la Sheria 8:2
Kumbukumbu la Sheria 8:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbukeni jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyowaongoza katika safari ndefu kupitia jangwani kwa muda wa miaka hiyo arubaini, ili awatweze na kuwajaribu ili ajue mliyokuwa mnawaza mioyoni mwenu, na kama mngezishika amri zake au la.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utaikumbuka njia ile yote BWANA, Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arubaini katika jangwa, ili akunyenyekeze, kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8