Kumbukumbu la Sheria 8:3
Kumbukumbu la Sheria 8:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliwanyenyekesha, akawaacha muone njaa na baadaye akawapa mana mle, chakula ambacho hamkukijua, wala babu zenu hawajapata kukijua. Alifanya hivyo ili apate kuwafundisha kuwa binadamu haishi kwa mkate tu, bali kwa kila asemalo Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akakunyenyekeza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8Kumbukumbu la Sheria 8:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akakutweza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 8