Mhubiri 10:10
Mhubiri 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nguvu nyingi zaidi zahitajika kwa mtumiaji shoka butu lisilonolewa, lakini kutumia hekima humfanya mtu afanikiwe.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10Mhubiri 10:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10