Mhubiri 11:6
Mhubiri 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Panda mbegu asubuhi na jioni usiache kupanda, maana, hujui zipi zitaota; za asubuhi, za jioni, au zote zitakuwa nzuri.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11Mhubiri 11:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiulegeze mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, kama ni hii au hii, au kama zote zitafaa sawasawa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 11