Mhubiri 12:1-2
Mhubiri 12:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua
Shirikisha
Soma Mhubiri 12Mhubiri 12:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku na miaka ambapo utasema: “Sifurahii tena vitu hivyo!” Umkumbuke kabla ya wakati ambapo kwako mwanga wa jua utafifia; mwezi na nyota haviangazi tena, nayo mawingu yametanda tena baada ya mvua.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12Mhubiri 12:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua
Shirikisha
Soma Mhubiri 12