Mhubiri 12:13
Mhubiri 12:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12Mhubiri 12:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya hayo yote yaliyokwisha semwa bado kuna hili linalotakiwa: Mche Mungu, na uzishike amri zake; kwa sababu hilo ndilo jukumu aliloumbiwa binadamu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 12