Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhubiri 6:12 - Linganisha Matoleo Yote

Mhubiri 6:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Nani ajuaye yamfaayo mtu katika maisha haya mafupi yasiyo na faida, maisha ambayo hupita kama kivuli? Nani duniani ajuaye yatakayompata mtu baada ya kufa?

Shirikisha
Mhubiri 6 BHN

Mhubiri 6:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana ni nani ajuaye yaliyo mema ya mwanadamu katika maisha yake, siku zote za maisha yake ya ubatili, anayoishi kama kivuli? Kwa maana ni nani awezaye kumweleza mwanadamu mambo yatakayofuata baada yake chini ya jua?

Shirikisha
Mhubiri 6 SUV

Mhubiri 6:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana ni nani ajuaye yaliyo mema ya mwanadamu katika maisha yake, siku zote za maisha yake ya ubatili, anayoishi kama kivuli? Kwa maana ni nani awezaye kumweleza mwanadamu mambo yatakayofuata baada yake chini ya jua?

Shirikisha
Mhubiri 6 SRUV

Mhubiri 6:12 NEN (Neno)

Kwa maana ni nani anayejua lililo jema kwa ajili ya maisha ya mwanadamu, katika siku chache na za ubatili anazopita kama kivuli? Ni nani awezaye kumwambia yatakayotokea chini ya jua baada ya yeye kuondoka?

Shirikisha
Mhubiri 6 NEN