Mhubiri 9:9
Mhubiri 9:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa chini ya jua; siku zote za ubatili wako, kwa maana huo ni sehemu yako ya maisha; na katika taabu zako ulizozitaabika chini ya jua.
Shirikisha
Soma Mhubiri 9Mhubiri 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.
Shirikisha
Soma Mhubiri 9