Waefeso 1:7
Waefeso 1:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana kwa damu yake Kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. Ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.
Shirikisha
Soma Waefeso 1