Waefeso 2:19-20
Waefeso 2:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu. Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyinyi si wageni tena, wala si watu wa nje. Nyinyi ni raia pamoja na watu wa Mungu, na ni watu wa jamaa ya Mungu. Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Shirikisha
Soma Waefeso 2