Waefeso 2:4-5
Waefeso 2:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda; hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhuisha pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu ni mwenye huruma nyingi. Alitupenda kwa mapendo yasiyopimika, hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na Kristo. Kwa neema ya Mungu nyinyi mmeokolewa.
Shirikisha
Soma Waefeso 2